KUNGWI DUME
HTML-код
- Опубликовано: 10 апр 2025
- Mwali kigego ndio hutoa siri za 'mkoleni'! Unaanzaaje kuyaanika ya unyagoni? siku zote manyakanga hubaki na mwali mwenye usiri za undani, mwali aliye alikwa huwa ana adabu, aibu na mstaarabu ukiona hasemi hovyo jua huyo amefundwa sio msungo na anaweza imudu ndoa yake bila kutoa hata siri moja ya maisha yake na mumewe.
Yuko vizuri napenda Sana mov za madebe hongera uko vizuri
Ndio mara yangu ya kwanza kuangalia movie hii
Lakn Kaka wew ni Noma Sisi wengin e tumefundwa na wakike hata hatuelewi ahsante kwa somo🙏🙏
Kisambaaaa hm kabisa gan kazi nzuri Hongera sana
Kungwi Mashaallah mafunzo mazuri kwel hongera 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
Hongera Mzee kungwii 🤣🤣 safi sana vijana oweni mupat stareh,
Nawapenda sana wasambaaa nilikuja lushoto nyie niwakalimu sana mv zur sana pia wasambaa nawapenda ❤️❤️
Nasi pia twakupenda mnoo
Good
Namshukuru kaka kwamafunzo yako
❤❤❤kungwi dume unafunda vizuri mwari, nimefurahi sana
Wow... nimependa mafunzo ya kungwi kwa mwari wake... nimejifunza mengi
🎉🎉🎉hongera Ibrahim,ni km mara ya nne hivi kuangalia hii movie Yani mafunzo zaidi ya kupitia maelezo,,nimelinda ndoa yangu kupitia tuh hii movie,, Asante kaka. You are 👌👌👌👌♥️
Congratulation mashaallh kaka kazi MZURI ibarikiwe nasubr sehm ya pili
Watanga tujuaje hapa 🤣😁🤞❤️❤️🔥
Tihaha ❤
Tumooooooo
Timumo mndeee ❤😂😂😂😂
@@aishafahdi8355 tupooo wa mtaee
Congratulations Ibrah good movie with a strong and helpful message
Nataka uwe kungwi wangu 👌🏾👌🏾♥️♥️🇧🇮
Asante sana Ibrahim kazi mzr na ina mafunzo sana mungu akubariki
Mansha allah nimependa mafunzo ya kungwi dume🌹🌹🌹🌹
Unajuwa hawa wanawake wakijijini wazur sana alaf Sasa cjui kwann huwa nawapenda
Khaa! kungwi dume Noma, unajua hadi basi, nimecheka hataa, na nimejifunza haswa
Upo vzr
Content imezingatiwa hongera sana M'mungu aendelee kukubaliki
Asante kaibrah Asante sana mungu akurinde sikuzote
Hongeraaa kungwi dumeeee umetupasha haswaaaaaa michepukooo wajipange
Haya watu watanga wako vizur hongera kaaka
Shukran bro...nimejifunza mengi na napenda mafunzo yako sana
Bravo bravo kazi nzuzi bro🤔🤔🤔ufundi nyingi sana
Dah noma sana yani fire ila nimejifunza vitu vingi sana thanks ibrah the don
Wow nimeipenda hiyo bro,nimepata elimu kupitia wew.mashaallah mung akupe moyo huo huo🎉🎉
Kumbe kisambaa kizuri watu wanaiga kuongea hongera Ibrah the don Mungu azidi kukubariki kwa viwango vya juuu
Piga kelele kwa wasambaa wakee
Wewweeeeeeeeeeee
jamani nakupenda saaaaana 💋 kugwi dume
❤❤❤big job ❤❤
Ibrah thedon hongera sana mafunzo mazuri nyakanga ww 🔥🔥🔥🔥wasambaa sisi🔥🔥🔥🔥
Hahahhaeeee!! Apo kwenye nyimbo ya mtaimbo umelala doro mm hoi Kwa kuchekaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hongera sana kungwi dume mafunzo mazuriii❤️❤️🥰
Ahsanteee kungwi Kwa mafunzo😘😘😘
Kungwi ahsante nilikua na Daftari naanfika mafunzo...Umetisha
Hongera kungwi dume...umenielimisha sana
Hawajanilipa pesa nyingi usinikaushe koo 🤣🤣🤣
Nimejifunz leo wow ntmn ungekuep zanzbr jmn asante xn💝💝
Nimejifunza pia siku nikiolewa 🥰🙏
😂😂😂😂jamani apa ni shuleni kwa kwel nmesoma😂😂😂😂
Kungwi km kungwi hongera bro nice work respect
Congratulations ibra movei nzuri san na yenye mafunzo mengi
IBRA... More time I'm spending. Watching your videos n movies. Love you bro big up sana.
Kaka ahsante Sana kwa somo nimeipenda
Daaaah unaweza mpaka unaweza tena kaka ibra ubarikiwe sanaa kwa funzo hiliiii 🙏🙏🙏🙏
Nimekupenda San ibr unasifa zote kaka unakipaji sana unafunza sana
9
Mamb
Wandugu mzanifuraisha mov nitana initamwiye mmmmm ongeeni wandugu
Mashahalla kungwi tumempata Asante baba
Be blessed Br for your good job of teachings our sisters
Mashallah umeweza Kaka ibrah👌nmependa mafunzo yko🤩✨
Kaka ibrah MashaAllah umetia mwili. Na hapa ni mafunzo kwenda mbele
👏👏Kaz nzur but 😂😂 hapo kweny kisambaaaa daaah
Mm hapo kwenye mtalimbo nisingevumilia ningecheka balaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 I wish nimuone mke wa kungwi dume nipige nae stori kdogooo mana kungwi hatareee👌👌👌
Kungwi dume Kiboko
Kungwi jmn umefundish wengi ety 👌👌👌
Asa huyo mke wa kungwi mbona kakosea hajamkaribisha mumewe ndani anampa habari hapo hapo nje khaa kashamfelisha😅
Jamni my unaweza ❤️💋💋💋💋🥰🥰🥰🥰🥰fundisha walimwengu
Mmmh! Kukwi dume noma sana 🤣🤣💯💯❤️❤️❤️❤️
Hahaha mmbo pambee😅😅❤❤❤❤❤ahsante
Daaaaaaaaah kungwi dume hongeraaaaaa Sana nimekupenda buleeeeeee
Wow kazi nzuri sana na subiri hio ya pili
Weee uku Kenya she ja wa ska izi asate sana❤❤❤
Mungu akubr xna Bro tunapata Elimu Sana ya maishaa👏👏👏
Nameyapend kwl maneno ya kungwi❤
Uko vizuri kakaa twangoja sehemu ya pili
Hongera kungwi dume🔥🔥🔥
😂😂❤❤❤Asant kwa mafunz kaka maana soon nakwend kuolew
Kisambaa❤❤❤
Kazi nzuri kaka muendelezo usichelewe kaka
😂😂😂huyo mwali nimkaushi😂mim ninge cheka😂😂😂😂😂😂
🌍🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👍👍kungwi dume umeupiga mwingi
Brother, you have tried very hard to send the language of the house very good ideas
Hahahaha 😂 jmn kungwi dume 😋💯💯💖💖💖💖👌🏽👌🏽👌🏽👌🏽
Mashallah hongera sana kaka nimeipenda sana tunasubiri muenderezo
Kungwiii Jamani,,, nimesoma namimi MashaAllah
Good work with good lesson , keep it up 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Tayari
Napenda kuona hizi senema za kijijin
Oyoooh
"duh" ibra wewe!! Unajua kufunda !!! Nakupenda bure!!!
wasambaa oyoooooooooo,,nakumbuka hapo kwezamu kwetuuu❤
Zzuriii nimejifunzaaa hongera Kwa kazi
Good mwanangu nimeielewa sana broo pamoja sana
Congratulations good lesson bro keep it up❤
Jmn kungwi wew😂😂😂😂😂😂asantee kwa mafunzo yako😂😂😂😂😂
Kazi nzuri.huyu ndio Ibrah the Don.
Mndughu kaibuuu,,,❤❤❤kaibu tanga aaahahaaaaaa
Kuna vitu tumejifunza wallah umeweza na umeweza tenaa🔥🔥🔥🔥
Kabisa haina hata mana ya SoMo😃😃😃😃
Hongera kwa kufunda
wali wetu kabla ya kwenda (kuingia) mbilini
Hongera mafundisho mazuri
Santhaaa kungwi dume nimejifunza mambo mengi sana 🥰🤣🤣🤣🤣
hongera kaka ,mafunzo mazuri🥰🥰
Movie ni nzuri inaelimishaaaa🥰🥰🥰
Nakubar sna kwa SoMo kk❤❤❤😅😅
Napenda sana kazi zaki from Burundi
Mtakula nzi mkizani mchwaa 😂😂😂wasambaa nyie.asante babu
Ni nzur kwakwel na pia ina funz 😍😍😍
Hongera sana umetufunza kupitia movie yako n nzuriiii sanaaaaa
Mashallah kaka napenda sana maneno yako
😂😂nimejifunza bt maneno yako yanatia haya daaah na una ujasiri wacha nifat ulo sema asant sana
Good work keep it up👏👏👏👏👏👏👏❤❤❤
Upo titi 😂😂😂😂😂upo nyonyoo 😂😂😂😂😂
Ulikubali kuolewa,usilale na nguo 😂😂😂🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️duh,ndoa jameni....
Kk umetisha kz nzul sana.👍👍👍👍
Wapi likes za wasambaaa woyoooooo
Tihaha😂
@@AlfanAmiritimumo. Mndeee ❤😂😂😂😂
Nihaha weangu
Kaka uko vzuri MUNGU AKUBARK Sana 🙏🙏🙏
Mwaka wa tuzo uwe wako kungwi 🥰🥰🥰🤝
Your so good brother